Kocha wa Real Madrid Jose Mourinho amejaribu kuwaambia mashabiki kuwa mchezo wao wa Leo Maarufu kama El Clásico Dhidi Barcelona kuwa una alama tatu tu na sio vinginevyo .
Timu hizo ambazo zimeanza Vibaya msimu huu katika ligi hiyo Maarufu kama La Liga ambapo Vinara wa ligi hiyo ,
Barça ambao wamekuwa na takwimu ya asilmia mia 100 ambapo tayari wana alama nane juu zaidi ya Bingwa Mtetezi Real baada ya Mechi sita
Japokuwa Vijana hao wa Mourinho's wameonyesha dalili za kurejea katika hari yao ya kawaida hasa baada ya kuifunga Ajax mabao manne kwa moja katika mwa juma 4-1 katika ligi ya mabingwa ulaya . na kocha huyo Mreno kukubali kuwa matumaini ya kutwaa ubingwa bado ni madogo sana kama kumfunga mpinzani wake katika kiwanja cha Nou Camp
"Real Madrid-Barça Hi ni mechi ambayo tunapenda kucheza .hata wao wanapenda kucheza mechi hii ," Alikiambia kituo kimoja cha runinga cha marekani , beIN Sport TV. " hii ina maana kwamba El Clásicoo ni kubwa zaidi ya mechi za ligi nyingine . mashabiki na wapenzi wa soka watasimama kwa muda kuitazama mechi hii ambapo Barcelona Dhidi ya Real Madrid. Idadi kubwa ya watu inaonyesha kuwa Mechi ya kombe la Spanish Supercopa iltazamwa sehemu nyingi kuliko ligi ya mabingwa barani ulaya
No comments:
Post a Comment