Mwingereza Andy Murray amepoteza ushindi katika michuano ya wazi ya japan katika hatua ya nusu fainali Dhidi Milos Raonic
MCanadana,huyo mwenye miaka 23, alifanya kazi kubwa kushinda set ya kwanza baada ya kuwa nyuma kwa set 4-1ili kuwa mshindi.
Raonic sasa atapambana na Kei Nishikori katika hatua ya fainali baada ya Mjapan kumshinda Marcos Baghdatis 6-2 6-2. ambaye ni mchezaji bora namba nane katika viwango vya dunia mjapan huyo anakuwa Mjapani wa kwanza kucheza fainali ya michuano mikubwa na alitumia dakika 61 kupata ushindi dhidi ya mpinzani wake.
Andy Murray alilingana katika set mbili za mwanzo kabla ya kupoteza set ya tatu dhidi ya Milos Raonic amabaye alimshinda akiri bingwa huyo mtetezi katika mchezo wao wa kwanza baada ya kushinda kwa set 6-3 6-7 (5-7) 7-6 (7-4).
Raonic sasa atapambana na Kei Nishikori katika hatua ya fainali baada ya Mjapan kumshinda Marcos Baghdatis 6-2 6-2. ambaye ni mchezaji bora namba nane katika viwango vya dunia mjapan huyo anakuwa Mjapani wa kwanza kucheza fainali ya michuano mikubwa na alitumia dakika 61 kupata ushindi dhidi ya mpinzani wake.
No comments:
Post a Comment