Bingwa mara nne wa uzito wa juu duniani Evander Holyfield amesema kuwa anaastaafu kwa
kufanya mnada wa kuuza baadhi ya vifaa mchezo huo alivyokuwa akivitumia .
Holyfield, ambaye anatimiza miaka Hamsini juma lijalo 50 amesema angepigana pambano moja katika kuhitimisha miaka
ishirini na nane ya kucheza mchezo wa ngumi.
‘’ Kwasasa na hitimisha ,siwezi kupata pambano ninalo taka ‘’
Bado sijatangza rasmi
lakini muda ukifika nitafanya hivyo sina pambano lolote nililobakiza
Holyfield, ambaye
amekosa mwerekeo na kudaiwa uro £10m ,Amekanusha kwa kusema pesa sio sababu
iliyomfanya yeye auze Badhi ya vitu vyake vya mchezo wa ngumi vya kukumbwa .Lakini Holyfield, ambaye alikuwa moja kati ya
mabingwa wa hatari zaidi wa dunia hakutaka kukubari kuwa pesa sio tatizo kwake
na alimuumizi kichwa sio jambo la huzuni
na lingekuwa na huzuni nisingefanya
"
Holyfield, ambaye aliwahi kukataa Nishani ya shaba katika michuano ya olimpick
mwaka 1984 ni moja kati ya vitu vitakavyo uzwa aidha amesema bado anavifaa vingi sana ambavyo
watoto wake na wajukuu watavitumia miaka ijayo
Aliongeza kwa kusema yeye ni mtu mwenye sumaku ya kuvuta
pesa na hafikirii kilakinachosemwa na watu wengine na wanaweza kusema wanachotaka , ninazungumza mimi kama mimi
ni jambo sahihi kwangu
"
Holyfield, amewahi
kupigana na Mike (Iron ) Tyson , Riddick Bowe na mwingereza Lennox Lewis
katika nyakati zake zakungara katika mchezo wa masumbwi lakini
mzaliwa huyo wa , Georgia na anayezungumza kwa lafudhi ya Atlanta,
anaamini kuwa mchezo huo umembakishia
pambano moja kati ya wapiganaji wawili ambao anafanana nao umri Vitali au Wladimir Klitschko.
Ambapo Vitali anamiaka
, 41,na Wladimir, anamiaka 36,ambaye
anahodhi mikanda ya ubingwa wa WBA,
IBF WBO .
No comments:
Post a Comment