Meneja wa zamani wa mwendesha baskeli Lance Armstrong's , Johan Bruyneel, amekung’atuka
katika nafasi katika sehemu aliyokuwa akifanyia kazi Radioshack
ameamua kufanya hivyo mara baada ya shirika linalo zuia mataumizi ya dawa ya
kuongeza nguvu katika mashindano ya Tour de Frances.
Japokuwa amesema kuwa atapambana na tuhuma dhidi yake
zilizotolewa na usada
Bruyneel alitajwa kwenye taarifa ya USADA ambayo ilikuwa ikimhusisha na
kujiiingiza kumsaidia Armstrong kutumia madawa ya kuongeza nguvu .
Kuanzia leo ",
Johan Bruyneel hatokuwa tena katika nafasi ya umeneja katika nafasi ya radio
shark Nisan Trek ambapo taarifa zimetolewa kwenye tovuti ya timu hiyo .
No comments:
Post a Comment