Shikirisho la soka la italia FIGC Limethinbitisha kupitia tovuti ya Nchi yake kuwa mchezaji wa timu ya soka ya Liverpool Mshambuliaji Fabio Borini amepata majereha katika mguu wake wa kulia .
Borini, ambaye alikuwa akifanya mazoezi katika timu ya chini ya miaka ishirini na moja huku akijiandaa na mechi ya kuwania fainali za kombe la dunia dhidi Sweden siku ya ijumaa alifanyiwa vipimo vya MRI na vimeonyesha kuwa amepata majeraha ya kuchubuka kwa mfupa ndani ya mguu wake , Habari hizo hazitakuwa Nzuri kwa Timu ya soka ya Liverpool hasa kwa mkufunzi wa timu hiyo Brendan Rodgers,ambaye kwa sasa anamshambuliaji mmoja mwenye umri wa juu Luis Suarez.

Mchezaji huyu mwenye miaka 21 ambaye alijiunga Liverpool akitokea Roma Mwezi july kwa ada ya uhamisho wa pauni £10.5million. amewahi kucheza chini ya mkufunzi huyo akiwa swansea city katika mwisho wa msimu wa mwaka 2010-11 ambapo aliisaidia timu kupanda daraja katika ligi ya premier ya uingereza Ambapo Swansea ilimsainisha mchezaji huyo kutoka Chelsea kwa mkopo , ambapo wao walimsainisha kutoka Bologna mwaka 2007. Borini amecheza mechi kumi za Liverpool msimu huu na amefunga mechi moja tu katika mashindano ya kufuzu michuano ya UEFA Europa league Dhidi Gomel Mwezi August.
kwa sasa liverpool ipo katika wakati mgumu tena baada kumtoa Andy Carroll kwa mkopo wa muda mrefu tena kwa mahasimu wao West Ham, Rodgers anakabiriwa na sintofahamu hasa katika nafasi yake ya ushambuliaji na watapambana na dhidi ya READING katika mechi yao inayofuata katika ligi ya premier ya uingerza oktoba ishirini mwaka huu .

No comments:
Post a Comment