Shirisho la soka duniani FIFA kupitia kamati ya nidhamu imeipa ushindi zambia dhidi ya sudan katika mechi kufuzu fainali za kombe la dunia 2014 Brazil™ mechi kati ya Sudan-Zambia iliyo chezwa 2 June 2012 na kuipiga faini ya CHF 6,000 baada ya chama hicho kuvunja sheria kifungu 55 par. 1 katika kanuni za fifa kutokana mechi husika .mara baada ya kutumia kiwanja kisicho kidhi mahitaji ya soka maamuzi yameshatumwa katika chama husika
No comments:
Post a Comment