Timu ya soka ya Taifa ya Latvia itasafiri kwenda Slovakia katika mechi yao ya kuwaania kufuzu fainali za kombe la dunia 2014 huko Brazil dhidi ya Slovakia ,hapo kesho na itakuwa bila ya kocha wao mkuu Aleksandrs Starkovs, ambaye kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kufanyia uapasuaji wa appendix .
" kwa bahati mbaya sitakuwa na Timu katika safari hii ya slovakia kocha mwenye miaka 57 aliweka wazi taarifa hizo zilitolewa na shirikisho la mpira wa miguu la Latvian . " Nina penda kuwashukuru mashabiki na waandishi Habari ambao wamekuwa wakulizia hari yangu ya kiafya siku chache zilizopita .lakini kwa sasa nina shukuru naenedelea vizuri
kutokuwepo kwake uwanja timu hiyo itakosa kuchagizwa na moja kati ya wachezaji wakubwa katika timu hiyo kwani aliwahi kuchezea timu hiyo ya taifa miaka ya 1970s na 1980s, wakati Latvia ilivyokuwa sehemu ya USSR - Timu hiyo sasa itaongozwa na kocha msaidizi wa timu hiyo Juris Sevlakovs. Starkovs Amesema kuwa atakuwa sawa na atakuwa akiwasiliana na timu yake na kutokuwepo kwake akuta haribu ufanisi wa timu kiwanjani Nina vutiwa na timu ya taifa itakuwa safi itakapokuwa katika majukumu yake huko Bratislava," Amesema Starkovs
Latvia ilianza vibaya mwezi uliopita katika kampeni yao ya kuwania kufuzu fainaliza kombe la dunia huko brazil baada ya kufungwa na ugiriki mabao mawili kwa moja na badae kufungwa mabao manne kwa moja dhidi vinara wa kundi hilo la G Bosnia. Baada ya mechi hiyo watasafiri kuwafuata Liechtenstein huko Riga siku ya jummanne

No comments:
Post a Comment