Klabu ya soka ya Lazio ya italia  imetozwa faini ya Yuro   €40,000 sawa na  pauni  (£32,500) na shirikisho la linalosimamia mpira barani ulaya  UEFA baada ya mashabiki wa timu hiyo kuwatukana au kuwakejeri wachezaji wa  TotenHam Hotspurs katika mechi ya  Europa League iliyochezwa katika uwanja wa White Hart Lane mwezi  September.
Kamati ya UEFA's inayohusika na Nidhamu imefanya maamuzi hayo usiku wa kumkia leo kwa saa za afrika mashariki .
Japokuwa Lazio wana takriban siku tatu za kukata rufaa dhidi ya adhabu hiyo kama wataona ni sahihi kwao kutokana na vigezo vilivyotumika kama wanadhani haviko sawa