Mlinzi wa Schalke 04's na beki wa zamani wa Timu ya taifa ya Ujerumani Christopher Metzelder ameumia tena nyonga katika mwanzo mwingine wa msimu wa ligi ya ujerumani na atakosa mechi nyingine jumamosi hii dhidi ya Hoffenheim.
Mchezaji huyo mwenye miaka 31-alitoka nje katika mechi ambayo timu yake ilishinda mabao matatu kwa sifuri dhidi timu ya ligi daraja la pili ya SV Sandhausen katika mzunguko wa pili wa kombe la ujerumani DFB-Pokal hapo jana lakini haijafahamika atakuwa nje kwa muda gani "Nina masikitiko ya kwakuwa nimetonesha msuli wangu katika sehemu ya nyonga ," Metzelder aliiambia tovuti ya klabu yake ya Schalke's .
Schalke wataikaribisha Arsenal katika michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya siku ya jumanne , Metzelder, ambaye amechezea mara 47 hasa katika michuano ya ulaya inayofahamika kwa UEFA EURO 2008 ambapo ujerumani ilicheza fainali Dhidi ya Uispania na kufungwa goli moja sifuri ,bado anapigana na muda na umri katika kuichezea klabu yake
Tangu ajiunge Schalke akitokea Real Madrid Mwezi July 2010, Metzelder ameichezea mara 48 katika ligi ya ujerumani Die Königsblauen, na amefunga magoli mawili .

No comments:
Post a Comment