Ligi kuu ya Tanzania Bara imeendelea hii leo katika uwanja wa kaitaba Mjini Bukoba ambapo timu ya Yanga imeambulia kichapo cha bao 1-0 Kutoka kwa wakata miwa wa Kagera Sugar.
Bao la Kagera Sugar limepatikana kipindi cha pili cha mchezo dakika ya 25, Bao hilo limefungwa na mchezaji mahiri mzaliwa wa Kimbugu Muleba Temmy Alfonce. na huu unakuwa mwanzo mmbaya kwa kocha mpya wa yanga Brandts ambaye ni raia wa uholanzi ambapo mechi ya kwanza aliambulia suluhu dhidi ya simba na leo kupata kichapo cha goli kwa moja kwa bila dhidi kagera sugar .

No comments:
Post a Comment