Kocha wa Timu ya taifa ya ufaransa Didier Deschamps amesisitiza kuwa hakuna wasiwasi wowote kuhusu majeruhi kwenye Timu yake huku wakikabiliwa na mechi ya kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia 2014 Nchini Brazil Dhidi Ya bingwa Mtetezi Uispania huku mchezaji wa timu hiyo Mlinzi Mapou Yanga Mbiwa.Mchezaji wa Anzhi Makhachkala's Lassana Diarra naye ameumia mgongo sasa ataungana na Rio Mavuba na Abou Diaby katika orodha ya majeruhi na hatokuwemo katika mechi yakirafiki dhidi ya Japan ijumaa na Uispania 16 October jijini Madrid.
Diarra sasa nafasi yake itachukuliwa kiungo wa Paris Saint German Clement Chantome, Deschamps anajiamini kuwa timu yake inakila sababu ya kushinda mechi katika kundi I hakuna wasiwasi kuhusu majeruhi tuna wachezaji wenye historia tofauti na wanauzoefu wa mechi za kimataifa ukimwacha Yohan [Cabaye].

No comments:
Post a Comment