Rafael Nadal Amekubali kuwa huenda akacheza tena katika
michuano ya mwezi January katika
michuano ya wazi Australian.
Bingwa huyo namba 1 wa Zamani . amekuwa nje baada ya kuumia kweny goti -- Tangu ajitoe mwezi julai katika michuano ya
olimpick ajacheza tena tangu alipo
fungwa na mchezaji ambaye hana kiwango cha ubora Czech Lukas Rosol katika mashindano
ya Wimbledon's.
Bingwa huyo mara kumi na moja wa mashindano ya Grand Slam Nadal alikataa kujitoa katika mashindano ya Davis Cup katika mechi ya fanali Dhidi raia Czech Republic Mwezi November ,
lakini
amekubali kuwa itakuwa ngumu kurejea
kwa timu baada ya miezi mitatu kuwa nje
Kwa sasa kitu
ninachopigania ni kushindana katika michuano ya Australian Open," kijana huyo mwenye Mwenye miaka
26 aliiambia CNN Espanol, .
"kuhusu Davis
Cup , bila shaka nitapenda kushiriki
lakini kwanza nataka kutazama kama nitakuwa sawa kiufundi na kimwli .
No comments:
Post a Comment