Mshambuliaji wa timu ya soka ya taifa ya Ujerumani Miroslav Klose ampokea zawadi ya heshima ya kuwa muungwana mchezo ni.
mara baada ya kukubali kuwa goli alilofunga katika ligi kuu ya italia mwezi uliopita lilikuwa la mkono kijana huyo mwenye miaka 34 ambaye amefunga magoli 65 katika mechi 125 alizochezea Timu ya taifa ya ujerumani ,ameshinda zawadi hiyo baada ya kumuelezea mwamuzi kuwa goli alilofunga katika mechi dhdi ya lazio na Napoli ambapo alifunga mwishoni mwa mwezi september alilifunga kwa mkono
Baada ya yeye mwenyewe kukiri mwamuzi alifuta goli hilo ambapo lazio ilifungwa mabao matatu kwa sifuri mjerumani huyo alisifiwa na timu pinzani hadi vyombo vya habari vya italia vilimsifu kwa uaminifu wake .

Mwamuzi aliniuliza kama mpira uligusa mkono wangu alisema klose ambaye atakuwemo katika kikosi cha ujerumani dhidi ya sweden huko Berlin's Olympic Stadium siku ya Jumanne .
''Nilikubari kuwa lilikuwa ni goli la mkono kwa mimi hilo lilikuwa jambo la kwaida najua kuna watu wengi wadogo watakaa mbele ya vinasa pcha katika runinga na kusema huu ni mfano mzuri wa kuigwa.
''Nilikubari kuwa lilikuwa ni goli la mkono kwa mimi hilo lilikuwa jambo la kwaida najua kuna watu wengi wadogo watakaa mbele ya vinasa pcha katika runinga na kusema huu ni mfano mzuri wa kuigwa.
Klose alishinda zawadi kama hiyo 2005 alipokuwa akichezea Werder Bremen katika ligi ya Bundesliga Dhidi ya Bielefeld. Baada ya Bremen kuzawadiwa mkwaju wa penalty,
Klose alimwambia mwamuzi kuwa mlinda mlango wa Bielefeld alidaka mpira kwanza kabla hajamgusa yeye na kuangauka chini . mwamuzi alighairisha mkwaju wa pernaty na kufuta kadi ya manjano aliyompatia mlinda mlango huyo.
No comments:
Post a Comment