SIKU YA KUKUMBUKWA –Kulikuwa na sherehe ya kubwa katika jiji la Baku jana katika mechi mbili za robo fainali za Kombe la dunia wanawake chini ya miaka 17 ,2012 ambapo kulikuwa na sherehe mbili za kuzaliwa za aina toafuti na zote mbili zilikuwa za kusisimua na kushangaza ya kwanza ilikuwa ina mhusu kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya ujerumani Anouschka Bernhard, ambapo wachezaji wake walicheza na kujihakikishia nafasi ya kihistoria ya nusu fainali katika baada ya goli la dakika ya mwisho dhidi barazil kuipa ushindi wa mabao mawili kwa moja 2-1 ambapo sasa itakwaanza na Jamhuri ya watu wa korea .
lakini kwa mshangao mwingine ilikuwepo sherehe nyingine baada ya timu ya taifa ya ghana kuingia kwa mara ya kwanza katika nusu fainali ya michuano baada ya kuwafunga wenyeji Japan ,Sharifatu Sumaila, alifunga goli lililo ipa ushindi malkia hao weusi ,ambao sasa watakwaanza na ufaransa katika hatua ya nusu fainali ambapo ufaransa wanakumbukumbu nzuri ya kuzifunga timu za afrika ,

Dhidi ya Gambia 10-2 katika hatua ya makundi na baadae kuifunga Nigeria kwa mikwaju ya pernaty bada ya kwenda sare ya kutokufungana .
ROBO FAINALI MATOKEO
Germany 2-1 Brazil
Japan 0-1 Ghana
ROBO FAINALI MATOKEO
Germany 2-1 Brazil
Japan 0-1 Ghana
No comments:
Post a Comment