Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NMB, Kees Verbeek akimkabidhi Mjumbe wa Kamati ya Chama cha Gofu Tanzania (TGU), Meja Samwel Hagu, mfano wa hundi yenye thamani ya sh. mil. 15 za udhamini wa mashindano ya gofu ya kumbukumbu ya Nyerere ‘NMB Nyerere Masters Golf Tournament’ katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam leo. Mashindano hayo yatakayoshirikisha wachezaji 100 kutoka mikoa mbalimbali nchini yatafanyika kesho na kesho kutwa kwenye viwanja vya Gymkhana Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa
Chanzo. www.tanzania sports .com
No comments:
Post a Comment