Roger Federer Ameendeleza record yake ya kukaa kwa wiki mia tatu kwa kushika namba moja katika katika ubora wa tenis dunia mara Baada ya kumshinda Stanislas Wawrinka 4-6 7-6 6-0 katika mashindano ya Shanghai Masters.
Bingwa huyo mara 17-wa Mashindano ya Grand Slam alitokea nyuma kumshinda mpinzani wake ambaye pia ni raia mwenzake kutoka Swiss Wawrinka na kuingia hatua ya robo fainali
Federer Amesema : ilikuwa ni mechi ya kushangaza ninaweza kusema hii ni moja katika mechi kubwa kwangu ninajivunia record hiii hakuna shaka juu ya hilo "
Federer ambaye ana miaka 31-sasa atakutana na Raia wa Croatia Marin Cilic katika hatua ya mwisho ya nane bora .
Alikuwa ni Wawrinka, (27), ambaye alianza vizuri huko china ambapo alishinda set ya kwanza
Federer alipewa alama zilizomfanya awe sawa na mpinzani wake kitaalamu tie-break.
na Wawrinka,ambaye ni mchezaji namba 13th, alishindwa kumshinda Federer kwenye mechi hiyo katika hatua ya tatu .
"najua kwa kawaida ni jambo la kushangaza kushinda namba moja nilipokuwa mtoto siku dhani hata siku moja kama kuwa ningekuwa katika nafasi hii
No comments:
Post a Comment