HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

14 October 2012

Ryan Bertrand AFUTA ANUANI YA TWITTER

Mlinzi  wa klabu ya soka ya Chelsea Ryan Bertrand Amefuta anuani yake ya Twitter baada ya kushutumiwa kuapa kwa kutumia mtandao huo wa kijamii.  Mchezaji huyo Mwenye Umri wa miaka ishirini na tatu alikichanganya chama cha soka cha uingereza huku akisema kuwa ametemwa katika kikosi cha timu baada ya kitendo hicho.
Alisema hafikirii kuwa swala kuapa linaweza kunifanya nisiwe sehemu ya mchezo alisema kabla hajatumia mtandao huo  .Baada ya kuomba radhi mchezaji huyo sasa amefuta kabisa anuani yake ya  Twitter  Tatizo hilo lilitokea baada ya kukosa mechi  ya kuwania kufuzu fainaliza kombe la dunia katika ushindi wa mabao matano dhdi ya 5-0  San Marino, na sasa ametemwa kabisa katika kikosi kitakachochezwa siku ya jumamatano dhidi ya Poland huko Warsaw.

 Bertrand ni mchezaji wa pili wa Chelsea na wa Uingereza  kuomba radhi baada ya kutoa maoni katika mtandao wa twiter ambapo wa kwanza alikuwa ni ashley cole baada ya chama cha soka cha uingereza kuchapisha taarifa za kumtia hatiani Terry's kuwa kumtolea maneno ya kibaguzi Anton Ferdinand.

 Cole's alitoa maoni katika mtandao  na kutweet kwa kusema haikuwa haki kwa nahodha huyo wa chelsea kufanyiwa namna hiyo  baada ya tume huru ya FA kumtia hatiani  Terry baada ya kumkashifu Ferdinand wakati wa mechi  kati ya  Chelsea na  QPR msimu uliopita kuwa alikuwa swala la kuulizwa kwani lilishapatiwa majibu
 Bertrand Amesema : "Samahani kama nimemuudhi mtu kwa kufanya kitendo hicho siwashawishi watu watumie Lugha  kama hii .
Nimesikitishwa kuwa watu wanafikiri nimefanya makusudi jambo ambalo si la umuhimu sana

 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers