Wafanyakazi katika klabu ya Manchester City's wanaohudumu katika uwanja wa Etihad
Stadium wameshutushwa na taarifa kutoka katika klabu hiyo baada ya kutangazwa kuwa watafuta utaratibu wa kutoa tikiti za bure kwa wafanyakazi wa uwanja huo na badala yake watatakiwa kununua tikieti hizo na sivyo kama walivyozoea zamani .
katika barua waliyo andikiwa kujulishwa kuwa kila mfanya kazi katika klabu hiyo atanunua tikiti kwa nusu bei .
City,
ambao hawana mkufunzi tangu alipofukuzwa kocha wa timu ya hiyo Roberto Mancini, na inasadikiwa kuwa itakuwa klabu ya kwanza kufanya hivyo ulimwengu lakini moja ya mfanyakazi ambaye hakutaka kutaja jina lake aliliambia gazeti la Manchester Evening News kuwa kitendo hicho sio cha kiuungwana .
Hawa ni baadhi ya wafanyakazi katika uwanja wa : Eithad Stadium
Ni pesa nyingi : Baadhi ya wafanyakazi wanasema klabu inataka kutumia fedha hizo kumlipa Yaya Toure kitu ambacho bado hakitafanikiwa (ambaye pichani ni huyo wa katikati) kwa mechi mbili tu
Wanasema : 'jambo hilo limetengeza miajadara na Najua watu wengi ambao wamekaa kwa miaka mingi sasa hawajiskii vizuri na wanataka kuondoka .
'Tunapata tikiti mbili za bure kila msimu ikiwa ni moja ya makubaliano ya mishahara .
'lakini sasa tumeambiwa kuwa tutapata tikiti hizo lakini tutahitajika kulipia asilimia hamsini huu sio ungwana na sio jambo la kiistarabu huu ni usaliti .
'Wanatumia mamilioni ya pesa kutengeneza timu mpya kule New York wakati sasa wanaanza kuchukua pesa tena katika mifuko ya wafanya kazi hapa
Manchester.
'na sasa tuna wasiwasi ni aina gani ya watendaji watakuwa wananunua tikiti hizo sidhani kama Patrick Vieira atatakiwa kulipa tikiti.
'Huu unaoneka ni utawala mbovu .Kiasi watakacho okoa hakikidhi kuweza kupata pesa ya kumlipa Yaya Toure’s hasa kwa tiki mbili ni hizi ni siku mbili sasa sidhani kama zitafika kulipa fedha hizo japokuwa wamekuwa wakatangza mauzo hayo bado kumesalia kuwa na viti ambavyo viko wazi .'
No comments:
Post a Comment