Klabu ya soka ya Arsenal imetia saini ya makubaliano mapya ya pauni za kiingereza £150m na kampuni ya usafirishaji ya anga ya Emirates , na kuongeza udhamini wa wa kuvaa jezi zenye nembo ya kampuni mpaka 2019.
Vile vile matumizi ya jina la kiwanja cha Emirates Yaliyopo kaskazini mwa london pia yameongezwa mpaka 2028 ikiwa ni sehemu ya kandarasi hiyo .
Vile vile matumizi ya jina la kiwanja cha Emirates Yaliyopo kaskazini mwa london pia yameongezwa mpaka 2028 ikiwa ni sehemu ya kandarasi hiyo .
Kiujumla makubariano yataiingizia mil £30m kwa msimu katika mauzo ya jezi na udhamini wa uwanja.
Mkataba huu mpya ni mkubwa ukilinganishwa na wa vilabu vikubwa kama Liverpool katika swala la mapato .
"Dili hii na kampuni ya Emirates ilikuwa moja kati ya nafasi yetu kuhama katika uwanja wa zamani wa Highbury na katika hatua inayofuata mahusiano yetu yatakuwa maalumu kutuweka katika ushindani hapa uingerezana ulaya ," Amesema Mtendaji mkuu wa Arsenal Ivan Gazidis.
No comments:
Post a Comment