HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 November 2012

Di Matteo AFUKUZWA KAZI



Kocha  Roberto Di Matteo amefukuzwa kazi kama mkufunzi wa chelsea baada ya matokeo mabaya hasa katika michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya
Klabu hiyo yenye maskani yake yake  Stamford Bridge  imeshinda mechi moja tu katika mechi zake nne za mwisho katika mashindano yote,
na wamefungwa mechi nne katika mechi nane za mwisho  na sasa wakiwa wamebakiwa na matumaini finyu ya kutetea ubingwa wa ulaya baada ya jana kukung'utwa mabao matatu 3-0 dhidi ya  Juventus ya italia .

Katika taarifa iliyotolewa na klabu hiyo klabu  imeamua kuachana na   Roberto Di Matteo.

"Matokeo ya timu hivi karibuni  yamekuwa siyo mazuri mwenye timu  na bodi ya timu  imeumua kufanya   hivyo chelsea  inakabliwa na kibarua kigumu cha kufuzu hatua ya mtoano ya ligi ya mabingwa barani ulaya 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers