HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

21 November 2012

KILA LA KHERI ZANZIBAR HEROES

Waziri
wa habari utamaduni utalii na michezo Abdilah Jihad Hassan akimkabidhi
bendera nahodha wa timu ya Taifa ya Zanzibar Agrey Moris huko kikwajuni
mjini zanzibar katika sherehe za kuwaaga wachezaji wa timu hiyo
wanaokwenda kweye michuano ya Tusker Cecafa Challenge Cup 2012


Wachezaji
wa timu ya Taifa ya Zanzibar,  Zanzibar heroes wakiwa katika picha ya
pamoja na viongozi wa Wizara ya habari pamoja na viongozi wa chama cha
soka cha Zanzibar

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers