HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

16 November 2012

HUU NI UKUMBUSHO WANGU KWENU MTAKAPO KUWA KIWANJANI


Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Leodegar Tenga akizungumza katika hafla ya chakula cha usiku kwa ajili ya kuichangia timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys usiku wa leo kwenye hoteli ya JB Belmonte, Dar es Salaam.
Serengeti inatarajiwa kumenyana na Kongo Brazzaville Jumapili, kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika mwakani nchini Morocco.
Katibu mkuu wa shirikisho la soka la kandanda tanzania tff Angetile osiah akiwa pamoja na  wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya tanzania Chini ya miaka 17 serengeti boys katika hafla yachakula cha usiku  iliofanyika leo usiku katika hotel JB Delmonte .

Timu hii inataraji kucheza kesho kutwa kuwania tikiti ya kucheza fainali ya mataifa ya afrika yatakayo fanyika nchini Morocco mwakani ambapo timu zitakazofika hatua ya nusu fainali zitakwenda kushiriki kombe la dunia la vijana .
Bin zubery pictures

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers