Maofisa wa Indian walio tuhumiwa kwa rushwa katika maandalizi ya 2010 ya jumuiya ya madaola leo wamechaguliwa tena katika bodi japokuwa walipewa onyo na kamati ya kimataifa ya olimpick .
Lalit Bhanot, Katibu mkuu wa zamani aliyesimamia mashindano ya Delhi ,alichaguliwa kuwa katibu mkuu wa chama kinacho simamia mashindano ya olimpick (IOA).
ambaye alituhumia miezi kumi na moja Rumande kwa tuhuma za rushwa na baadaye aliachiwa kwa dhamana

Kwa mujibu wa sheria za kamati ya olimpiki ya kiamtaifa (IOC) Mwezi wa kumi ambapo ilionywa kuwajumuisha Bhanot au Mkuu wa zamani wa IOA Suresh Kalmadi - ambaye pia ameachiwa kwa dhamana kwa tuhuma za rushwa .lakini india haikuliona hilo kutoka na taratibu za uchaguzi za kisheria za nchi hiyo kwani bado hawajatiwa hatiani .
No comments:
Post a Comment