Kocha wa Paris Saint-Germain Carlo Ancelotti amethibitisha kuwa amekatishwa tamaa na uwezo wa hivi karibuni wa mchezaji wake Javier Pastore.
Kijana huyu mwenye miaka 23-amefunga goli moja na kutengeneza manne msimu huu katika Ligue 1,

lakini alibadilishwa katika kipindi cha pili akimpisha Nene mwishoni mwa juma katika ushindi wa mabao 4-0 Dhidi ya Troyes, na hakuchezeshwa jumanne hii katika kombe la ligi walipofungwa na t Saint Etienne.
"Nimekatishwa Tamaa sana na utendaji wake wa kazi wa hivi karibu na nitazama kama nitamchezesha kesho katika mechi ya ligi dhidi
Nice.
"Mchezaji huyu alinunuliwa kwa gharama ya yuro €42 million katika majira Kiangazi 2011.

No comments:
Post a Comment