Kocha wa timu ya soka ya Fulham Martin Jol amesema kuwa mashabiki wa Arsenal wasitegemee kushinda taji lolote kama ilivyokuwa kawaida yao miaka ya nyuma
Arsene Wenger's na Timu yake hawajashinda kikombe tangu 2005' walipo shinda komba la FA Cup - japokuwa wanaweza wakajuta siku ambayo klabu hiyo itakapo mpoteza kocha huyo
"Miaka saba ? Huo ni muda mrefu sana ," Alisema Jol . "Mhhf ,sidhani kama ni jambo ambalo mashabiki wa arsenal wanataka.

"Wenger ametengeneza Arsenal mpya . Labda baada ya miaka mitatu ,wanaweza kutumaini au wasali sana ili kupata kocha kama Wenger."
Arsenal na Fulham wanalingana alama huku wakiwa wamecheza mechi kumi kila moja ambapo wanakutana jumamaosi hii katika uwanja wa Emirates
Jol anasema kuwa Arsenal itabidi ijikaze kwani itakuwa vigumu kwa wao kuapambana na vilabu kama Manchester United, Manchester City na Chelsea.
"Ukitazam vile Man City inavyotumia pesa wametumia Nusu billion , Man United, sio watu rahisi hisi siku huwezi kushindana nao," anamaliza Jol.

No comments:
Post a Comment