Masai ujiri akiwa na Barack Obama
Hiki ni moja ya Kituo anachosimamia Masai ujiri |
Masai Ujiri ambaye ni Mzaliwa wa Nigeria Meneja wa timu ya mpira wa kikapu ya Denver Nuggets na ni mwafrika wa kwanza kuongoza timu hasa katika nchi ya marekani
Mnigeria huyu ni mchezaji wa zamani wa kulipwa wa mpira wa kikapu ambaye hakucheza NBA ambapo amechukua hatam Nuggets mwaka 2010 lakini amekuwa akifanya kazi ya kuinua mchezo wa kikapu katika bara la afrika kwa muongo mmoja uliopita "Sitaki tuu --kuwa mwafrika wa kwanza kuwa Mkurugenzi mkuu katika michezo huku america -- Ninataka kufanikisha jambo nataka kuleta maendeleo katika bara la africa na kuukuza mchezo huu katika bara letu
Ujiri ni mkuregenzi pia katika kambi ya mpira wa kikapu inayoshughurikia mchezo wa Kikapu bila mipaka -- ambaye anaongoza programu ya kijamii katika ligi ya NBA ambayo inatafuta wachezaji wenye vipaji hasa kwa vijana ambao huwa watatuma wakufunzi ambao walicheza mchezo huo hasa ambapo huenda ulimwengu kote
Ujiri pia ni moja kati ya waanzirishi GAF kituo ambacho kinasimia na kutengeneza magwiji wa mpira wa kikapu katika bara la afrika ambapo limedhamilia kuwapa wanafunzi wa mchezo Elimu ya kutosha hasa katika ngazi ya kimataifa .
" Tayari wamaeshapata watoto kutoka Nchi za Benin na wengine kutoka Ghana na Togo. Nafikiri hili limekuwa jambo zuri ," .
"Matarajio yangu Binafsi ni kutaka kutengeneza nafasi zaidi kwa afrika ... mmhh Watoto wananafasi ya kufaidika zaidi , Hasa kufika hadi hapa nilipofika mimi ."

No comments:
Post a Comment