HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

17 November 2012

PETER ODEMWINGIEEEEEE AIKAANGA CHELSEA


Chelsea imecheza mehi ya nne sasa bila ya ushindi baada ya kufungwa na  West Brom katika Dimba la  Hawthorns.
  Baggies walipata goli la uongozi baada ya mshambuliaji kufunga kwa kichwa  Shane Long's .
 Eden Hazard alisawazisha lakini West Brom walirejea tena mbele baada ya  Peter Odemwingie kuunganisha  klosi kwa kichwa kutoka kwa  Long's .
 Chelsea walibaniwa pernaty baada ya  Claudio Yacob's  kumfanyia faulo  Victor Moses na  Daniel Sturridge kushindwa kutumia nafasi za wazi mwishoni mwamchezo  


Luis Suarez amefunga magoli mawili wakiizamisha  Wigan at Anfield kwa mabao matatu kwa bila .



5-0 dhidi Aston Villa 


Newcastle 1-Swansea 2


Man City5 - 0Aston Villa
Newcastle1 - 2Swansea
QPR1 - 3Southampton
Reading2 - 1Everton

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers