HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

15 November 2012

RAMBI RAMBI

Rais wa Shirikisho la kimataifa FIFA  Joseph S. Blatter amekiandikia chama cha soka afrika kusini , kuelezea uchungu alioupata moyoni mara  baada ya wachezaji waane wa timu ya soka ya   Polokwane kufariki . 

Katika barua aliyomuandikia Rais wa  SAFA  Kirsten Nematandani, Blatter amelezea huzuni kubwa aliyoipata mara baada ya kuwapoteza   Khomotso Mpakatesane, Moeketsi Nthete, Mojalefa Mphuthi na  Koketso Takalo,  waliouwa  kutokana na ajari ya barabarani 

“Nina chukua nafasi hii kuonyesha jinsi gani nilivyohuzunishwa na ajari iliyogharaimu maisha ya wachezaji wa Polokwane City ambao ni  Khomotso Mpakatesane, Moeketsi Nthete, Mojalefa Mphuthi na  Koketso Takalo aliandika mkuu huyo wa shirikisho linalosimamia mpira ulimwenguni

ukitazama vifo hivi vimetokea mwezi mmoja baada ya kifo cha Thomas Madigage hili kimekuwa ni kipndi kigumu sana kwa watu wa jamhuri ya afrika kusini 

“Kwani aba ya  FIFA  na familia ya mpira wa miguuu , Ningependa kutoa salamu zangu za rambirambi kwa timu ya  Polokwane City, na , la muhimu zaidi , kwa wachezaji soka ’familia  ,Marafiki    na wapendwa wao wa karibu zaidi  .”

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers