Nahodha wa zamani wa Timu ya soka ya Cameroon Theophile Abega ameripotiwa Kufariki .
Nahodha huyo amefariki majira ya mapema huko Cameroun , November 15 katika hospitali ya Yaoundé. na alikuwa na umri wa miaka 58.
Abega ambaye alipewa jina la utani la “Daktari ” katika siku ambazo alikuwa akicheza soka katika ngazi ya kitaifa na kimataifa ndiye mchezaji ambaye anayesadikika kuwa mwenye kipaji zaidi kutokea katika Ardhi ya Cameroun .Kama Nahodha wa wa simba wasiofugika ,aliisaidia timu yake kushinda kombela mataifa ya afrika 1984 ambapo fainali hizo zilifanyika nchini Cote d’Ivoire. baadae mwaka huohuo alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa afrika na Jarida la mpira wa miguu la ufaransa ,
Pia alikuwa moja kati ya wachezaji muhimu wa simba hao katika fainali za kombe la dunia 1982 zilizofanyika katika ardhi ya uispania , na alicheza mechi tatu katika hatua ya makundi .
Baada ya kumaliza maisha ya soka hasa katika klabu yake ya ufaransa ya alirudi kwao na kuwa rais wa timu ambayo aliichzea ujanani Toulouse, Canon Sportif de Yaoundé.

Mwaka 2006, alitajwa na CAF kuwa ni moja kati ya wachezaji 200 bora ambao walitokea katika miaka 50 iliyopita
Mpaka anapatwa na mauti , alikuwa meya wa Yaoundé VIème,

No comments:
Post a Comment