HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

23 December 2012

GHARIKA YA IKUTA ASTON VILA STAMFORD BRIDGE . YAPIGWA NANE BILA

Chelsea Imerejea  nafasi ya tatu katika ligi ya uingereza baada ya kuifumua bao nane kwa bila  Aston Villa katika Dimba la Stamford Bridge.

 Kichwa cha kuchumpa kutoka   Fernando Torres, David Luiz's akifunga kwa mpira wa adhabu wa mita 20 na  Branislav Ivanovic's akifunga bao la tatu kirahisi na kwenda mapumziko kwa bao tatu sifuri  . 

 Frank Lampard's alifanya kazi kubwa iliyomaliziwa na Nascimento  Ramires' kirahisi , wakati Emboaba Oscar's alifunga kwa  penalty, na baadae  Eden Hazard's alimaliza siku mbaya kwa vila kwa kukandamiza bao la saba .

 Lucas Piazon alikosa  penalty na baadae   Ramires  alifunga goli kona ya kulia ndani ya box la pernaty  katika dakika za mwsiho na kitimisha ushindi wa bao nane 

Swansea
1 - 1
Man Utd

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers