Shirikisho
la mchezo wa riadha nchini RT linaandaa mkakati utakaowabana waandaaji michuano
ya mbio ndefu ambayo hufanyika kila mwaka, ili kuwawezesha wanariadha
wanaokimbia mbio fupi kunufaika na michuano hiyo.
Katibu
mkuu wa RT Suleyman Nyambui amesema kwa sasa wamebaini, michuano ya mbio ndefu
ambayo hufanyika zaidi ya mara tatu kila mwaka, imekua inashindwa kuwaendeleza
vijana wenye malengo la kushindana katika mbio fupi kutokana na mchezo huo
kutoshirikishwa kikamilifu.
CHEZA HAPA
Hata hivyo
Nyambui amesema wanaamini kuutambulisha mpango huo wa kushirikisha mbio fupi
kupirtia michuano yam bio ndefu, kuanzia mwaka 2015 bado haujachelewa kutokana
na vijana wengi kuwa katika mikakati ya kukuzwa kupitia michuano mbali mbali ya
shule za msingi na sekondari.
No comments:
Post a Comment