Siku ya Tarehe 14 December 2012 , katika Mkutano wa mwisho wa mwaka huko Tokyo, kamati kuu ya Fifa imekipitisha kiwanja cha LUZHNIKI kuwa ndio kiwanja kitachotumika katika mechi ya ufunguzi wa fainali za kombe la dunia na vilevile ndio kiwanja kitakachotumka kuchezea fainali ya kombe hilo la dunia , kiwanjani hicho cha kihistoria ni moja kati ya viwanja vichache vilivyopewa heshima ya kuaandaa mechi mbili kubwa katika mashindano makubwa kama hayo duniani.
Uwanja huu wa Luzhniki ulifunguliwa kwa mara ya kwanza mwaka 1956, umewahi kuaandaa matukio makubwa ikiwemo ufunguzi na ufungaji wa mashindano ya olympic 1980 ,na fainali za klabu bingwa barani ulaya mwaka 2008 .

Uwanja huo utafungwa mwezi August 2013, kabla ya kufunguliwa tena miaka mitano baadae kupisha mataengenezo na kurekebisha muonekano wa kiwanja hicho hasa mwaka 2018.
Aidha katika fainali hizo kiwanja hicho pia kimepewa heshima nyingine ya kuandaa mchezo mmoja wa nusu fainali huku nusu fainali nyingine ikichezwa katika uwanja wa St Petersburg.
Kiwanja cha St Petersburg, ambacho kipo katika mataengenezo katika kisiwa cha Krestovsky , kitakuwa mwenyeji wa mechi ya ufunguizi na ya fainali ya kombe la mabara 2017 - kwa mujibu wa fifa viwanja vingine vitakavyo tumika katika kombe la mabara ni Spartak Moskva's ,Kazan na Sochi."

No comments:
Post a Comment