Ligi ya Mabingwa Barani ulaya hatua ya kumi na sita mtoano itapangwa kesho huko Nyon saa tano Asubuhi kwa saa za mashariki ya kati 11.30CET Alhamisi 20 December – ambapo mabingwa tisa wa michuano hiyo wakihusika .
Bingwa mtetezi hatokuwemo lakini Malaga ambao wanaingia kwa mara ya kwanza pamoja na timu nyingine 15 ambazo zimewahi kucheza hatua hii zitawajibika wakati Real madrid wanaingia mara ya kumi na sita mfulizo kwa timu zilizotwa ubingwa huo.
.
Mtaifa Tisa tofauti yanawakilishwa katika hatua hii na ni timu Tano tu ndizo zilizokuwemo katika hatua hii msimu uliopita : FC Bayern München, FC Barcelona, Arsenal FC, AC Milan na Madrid. huku timu mbili tu zikiwa zikiwa zimeanza katika hatua awali za kufuzu kwa makundi , Málaga na Celtic FC
Washindi wa kila kundi watapata faida ya kuanzia ugenini huku wakipangwa kucheza na washindi wa pili

WASHINDI WA MAKUNDI : Paris Saint-Germain FC (FRA), FC Schalke 04 (GER), Málaga CF (ESP), Borussia Dortmund (GER), Juventus (ITA), FC Bayern München (GER), FC Barcelona (ESP), Manchester United FC (ENG)
Washindi wa pili : FC Porto (POR), Arsenal FC (ENG), AC Milan (ITA), Real Madrid CF (ESP), FC Shakhtar Donetsk (UKR), Valencia CF (ESP), Celtic FC (SCO), Galatasaray AŞ (TUR)
Mechi za Mashindano hayo zitaanza 12/13 na 19/20 Mwezi February wakati marejeano 5/6 na 12/13 March. hakuna timu zitakazo cheza zilipokua kundi moja wala za nchi moja shughuri itaendeshwa na Katibu mkuu wa UEFA Gianni Infantino na Mkurugenzi wa Mashinadano wa UEFA Giorgio Marchetti, akisaidiwa na balozi wa uefa Na mchezaji wa zamani wa Liverpool Steve McManaman.
Mario Balotelli AKUBALI KULIPA FAINI
Mshambulijai wa Manchester city Mario Balotelli amefuta kesi yake mahakani dhidi ya klabu yake ya city baada ya kukubali kulipa faini ya mshahara wa majuma mawili kama adhabu ya kinidhamu dhidi yake kutokana na Takwimu mbaya ya Nidhamu msimu uliopita .
Kesi hiyo ilitakiwa kusikizwa leo lakini kutokana na mazungumzo yaliyofanyika jana usiku kati ya pande zote mbili , Taarifa zinasema kuwa mshambuliaji huyo mwenye miaka 22 amefanya maamuzi hayo kama kumheshimu kocha mkuu wa klabu yake Roberto Mancini, na Mashabiki kwa ujmla ".
"Mario ataendelea kuwemo katika mechi inayofuata dhidi ya Reading klabu hiyo" imesema
Mshambuliaji huyo aliipinga klabu yake kwa kumkata mshahara mara baada ya kukosa mechi 11 na za kimataifa baada ya kukabiliwa na adhabu hiyo.
Mshambuliaji huyo alitarajiwa kwenda mahakani pamoja na Mwanasheria wake kutoka italia na mwakilishi kutoka chama cha wachezaji wa kulipwa huku City ilitarajiwa kuwakilishwa na wanasheria wa timu hiyo Mshahara wa wiki mbili ni adhabu sahihi kwa wachezaji wote wa kulipwa
.
City ilianza kumtuhumu mchezaji huyu Mara baada ya kupewa kadi nyekundu mechi dhidi ya arsenal mwezi April 2012 na alipewa kadi za njano Tisa na Nyekundu tatu katika msimu mmoja .
City ilianza kumtuhumu mchezaji huyu Mara baada ya kupewa kadi nyekundu mechi dhidi ya arsenal mwezi April 2012 na alipewa kadi za njano Tisa na Nyekundu tatu katika msimu mmoja .
MASHABIKI WA ZENIT ST PETERSBURG NI WABAYA NA WABAGUZI
Mlinzi wa klabu ya Anzhi Makhachkala Christopher Samba. Amewatuhumu mashabiki wa klabu yake kwa kusema ni wabaya na wabaguzi na wanaishi katika karne nyingine kabisa na sio hii ya ishirini na moja , Mashabiki hao ambao hawataki kuona mchezaji mweusi na shoga wakizitumikia klabu za urusi ,Anasema "Sishwangazi sana , Kila mtu anajua kuwa Mashabiki wa Zenit sio wazuri na ni wabaguzi .
"Wanaishi katika sayari nyingine Ni siku mbaya katika soka ya Urusi aliongeza : " katika wakati huu ambapo jamii tofauti katika nchi tofauti wanatengeneza timu . Kama hawawezi kukubaliana na hili basi kamwe hawataendelea ."
Zenit Ndio timu pekee iliyokuwa haina mchezaji mweusi mpaka pale aliposajiriwa Raia wa Brazil Hulk na kiungo wa Ubeligi Axel Witsel.
Klabu iliwahi kupigwa faini ya Shirikisho la soka la Urusi baada ya mashabiki kumrushia Ndizi mchezaji wa Anzhi Makhachkala -na mlizni wa Kushoto wa klabu hiyo Roberto Carlos kabla ya mechi dhidi ya Lokomotiv Moscow March 2011.
Wachezaji weusi hupigiwa miruzi ya kama ishara ya kumwita nyani
Samba amesema kuwa Tabia hiyo inaweza kuathiri maandalizi ya ya Kombe la Dunia mwaka 2018 kwani itakuwa ngumu kucheza hasa kwa timu kutoka afrika na za ulaya ambazo zinawachezaji weusi

Benzema TUPO TAYARI KUPIGANA MACHO YAPASUKE
Mshabuliaji wa Real Madrid Karim Benzema amewaonya Viongozi wa La liga Barcelona kuwa timu yao haitaachana na mbio za ubingwa japokuwa wapo nyuma kwa alama kumi na tatu baada ya kwenda sare na Espanyol huku vijana wa Tito Vilanova' wakiiibamiza Timu inayoshika nafasi ya tatu Atletico Madrid 4-1 katika Dimba la Nou Camp.
Kocha wa Madrid Jose Mourinho alinukuliwa akisema kuwa kwa vitendo haiwezekani kwa sasa kutetea ubingwa wa la liga huku Barca wakiwa wamepoteza alama moja tu Ni vigumu kwa Mabingwa Mara tisa wa ulaya kutetea taji hili tena na kupigana alama kumi na tatu hii ni tofauti kubwa sana

,Kama hatuta Endelea kufungwa hatuwezi kukubali kuwaachia Barça,wachukue kila hisi namna hiyo . Benzema ALILIAMBIA Jarida la Kifaransa .
No comments:
Post a Comment