Kocha wa Timu ya soka ya Nigeria Stephen Keshi amewaacha washambuliaji wawili wa timu hiyo Peter Odemwingie na Obafemi Martins kwenye kikosi cha timu hiyo kitachoshiriki mataifa ya afrika mwezi january nchini afrika kusini.
Mshambuliaji wa West Brom Peter Odemwingie alichezea Nigeria katika mechi ya kufuzu dhidi ya Rwanda Mwezi February,
wakati Martins, ambaye kwa sasa anachezea Levante ya uispania , alishindwa kumvutia kocha wake katika mechi ya kirafiki dhidi ya Venevuela
Danny Shittu, ambaye ameonyesha uwezo mkubwa katika klabu yake ya Millwall inayoshiriki ligi daraja la pili ameitwa baada ya kuchezea kwa mara ya mwisho timu hiyo katika fainali za kombe la dunia 2010 nchini afrika kusini
Keshi, atafanya mazoezi yake ya mwisho huko ureno kuanzia decmber 27 atatakiwa kupunguza wachezaji hadi 23 kabla ya january 9 siku kumi kabla yamichuano hiyo kuanza .
.Kikosi cha Nigeria

Goalkeepers: Vincent Enyeama (Maccabi Tel Aviv/Israel), Austin Ejide (Hapoel Be'er Sheba/Israel), Chigozie Agbim (Enugu Rangers), Daniel Akpeyi (Heartland)
Defenders: Elderson Echiejile (Braga/Portugal), Juwon Oshaniwa (Ashdod FC/Israel), Benjamin Francis (Heartland), Joseph Yobo (Fenerbahce/Turkey), Efe Ambrose (Celtic/Scotland), Solomon Kwambe (Sunshine Stars), Azubuike Egwuekwe (Warri Wolves), Danny Shittu (Millwall/England), Kenneth Omeruo (ADO Den Haag/Netherlands), Godfrey Oboabona (Sunshine Stars)
Midfielders: Mikel Obi (Chelsea/England), Nosa Igiebor (Real Betis/Spain), Ogenyi Onazi (Lazio/Italy), Raheem Lawal (Adana Demirspor/Turkey), Obiora Nwankwo (Padova/Italy), Fegor Ogude (Valerenga/Norway), Gabriel Reuben (Kano Pillars), Rabiu Ibrahim (Celtic/Scotland)
Forwards: Ahmed Musa (CSKA Moscow/Russia), Emmanuel Emenike (Spartak Moscow/Russia), Brown Ideye (Dynamo Kiev/Ukraine), Victor Moses (Chelsea/England), Uche Kalu (Rizespor/Turkey), Bright Dike (Portland Timbers/ USA), Shola Ameobi (Newcastle/England), Ikechukwu Uche (Villarreal/Spain), Ejike Uzoenyi, Sunday Mba (Enugu Rangers)

No comments:
Post a Comment