Mohamed Bin Hammam, Moja kati ya wagombea Urais katika chama cha soka kinachosimamia mpira ulimwengu FIFA ambaye alihusika katika tuhuma za Rushwa na kujiuzulu katika nafasi zote alizokuwa akishilia amepigwa marafuku kabisa kuto kujihusisha na mchezo wa soka katika maisha yote ya ulimwengu
Hammam ambaye ana miaka 63- alikuwa mkuu wa chama cha soka cha asia alituhumiwa kutumia rushwa kumuondoa madarakani Rais wa sasa wa fifa Sep BLATTER katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana.
Hammam ambaye ana miaka 63- alikuwa mkuu wa chama cha soka cha asia alituhumiwa kutumia rushwa kumuondoa madarakani Rais wa sasa wa fifa Sep BLATTER katika uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka jana.
Adhabu ilifutwa na mahakama ya usuluhishi wa mchezo july mwaka jana lakini Fifa imetoa adhabu nyingine ya Kumfungia maisha na hatoruhisiwa tena kuongoza shuguhuri za soka Duniani
No comments:
Post a Comment