HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

24 December 2012

NAWATAKIA SIKUKUU NJEMA


Nawatakia sikukuu njema wasomaji wa K-SPORT.COM  na Mungu akiwajahria sikuku ya mwaka mpya Katika kipindi cha sikukuu na wasihi sana Epuka Ulevi ambao hauna tija kwako kuwa mtulivu na mkumbuke sana Mungu kwani amefakufanyia mambo mengi sana mpaka unaiona Krismas nyingine ni matumaini yangu kuwa utakaa nyumbani wewe na familia mambo mazuri kutoka K-sport.com .bila kusahau mvinyo kwani krismas ni mvinyo na unazaliwa  upya unazaliwa mvinyo wa imani kwa wale wa kristo kama mimi mvinyo mpya unazliwa usiku huu hata kwa wale sio kuwa kuwa wakristo Endelea kupata radha ya mvinyo kwani huu ni mvinyo wa uzima (YESU KRISTO)


MERRY CHRISTMASS  


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers