Japokuwa anaendelea vizuri na maumivu yake ya nyonga alipokuwa akichezea klabu yake ya TP Mazembe mwezi October 10 mwaka 2012 katika michuano ya klabu bingwa afrika katika mechi ya nusu fainali dhidi ya Esperance ya Tunisia .
Rain ford Kalaba hatokuwemo katika kikosi cha Zambia dhidi ya Tanzania jumamaosi hii , lakini

Kocha mkuu wa Timu hiyo Herve Renard anauhakika kuwa mchezaji huyo atakuwa sawa katika uchaguzi wao mkuu wa mwisho wa kuchagua wachezaji 23 wa kushiriki fainali za matafa ya afrika mwakani nchini afrika kusini 2013.
“Kiukweli hatocheza dhidi ya Tanzania" kwa sasa ameanza mazoezi hivi karibni na ajafanya mazoezi na timu hivi karibuni ,” Amesema Renard .
“Anafanya mazoezi mwenyewe hii ina maana ndani ya wiki tano unusu atakuwa sawa kujumuika nasi katika mashindano AFCON.”
Zambia ipo kundi moja la C la Nigeria, Ethiopia na Burkina Faso

No comments:
Post a Comment