HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 December 2012

ZAWADI GANI HII ? – Everton 2-1 Wigan; Fulham 1-1 Southampton; Man U 4-3 Newcastle; Norwich 0-1 ChelseaQPR 1-2 West Brom; Reading 0-0 Swansea; Sunderland 1-0 Man City


Manchester United  Imeongeza alama tatu muhimu katika  uongozi wa ligi ikitoka nyuma mara tatu na kuibamiza  Newcastle ambao hawajahi kuishinda man u katika dimba la old traford huku united wakiwa na miaka thelathini na nne haijawahi kupoteza katika kiwanja cha chao dhidi ya Newcastle .

 James Perch aliipatia Newcastle goli la kuongoza baada ya kupiga mpira uliotemwa na mlinda mlango   naye Jonny Evans na baadae alijifunga mwenyewe na kuipa Magpies bao la pili

 Patrice Evra alisawazisha  kwa shuti nje ya kumi nane lakini   Papiss Cisse's alifunga bao la tatu huku van p, na chicharito walifunga kila moja na kuiua Magpies nne kwa tatu .


Adam Johnson ameifunga timu yake ya zamani na kuishangaza kwa mara nyingine tena kwani  Sunderland inaikandamiza tena  Manchester City katika misimu hiii mitatu  ya karibuni .

 Sunderland walipata goli lao baada ya  Johnson kupiga shuti la mita  25-na kumshinda  Joe Hart na mpira kwenda Engo ya juu  
City inafungwa mara ya tatu mfululizo  kwa idadi ya goli moja kwa sifuri katika uwanja wa sunderland

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers