HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 January 2013

BUKINABE YAUA AROBAINI WAKIWA PUNGUFU DHIDI YA ETHIOPIA

Burkina Faso v Ethiopia
Burkina Faso v Ethiopia

Burkina Faso's wakiwa 10 kiwanjani imekuwa timu ya kwanza kufunga mabao mengi  katika michuano ya kombe la mataifa ya afrika katika kundi c kwa kuifunga Ethiopia mabao manne kwa bila Mshambuliaji   Alain Traore alifunga goli la kwanza baada kufunga akipokea krosi safi kabisa kutoka magharibi mwa kiwanja  .
Traore aliongeza goli la pili katika dakika ya sabini na nne kabla ya  Djakaridja Kone kufunga bao la tatu  . 

  Kiungo mchezeshajai Jonathan Pitroipa alifunga bao la nne baada ya kipa wa Ethiopia   Abdoulaye Soulama aliposhindwa kuchezesha mpira baada ya kupigwa pasi mpenyezo

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers