Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania,
Jakaya Kikwete,ametembelea makao makuu ya shirikisho la soka la kimaitafa FIFA jana 23 January,akichukua muda wake kwa kukutana na rais wa shilikisho hilo na kujadiliana mambo kadhaa na Rais wa FIFA Joseph S. Blatter.
“ Nina mshukuru Rais Blatter kwa kunialika kutembelea makao makuu ya FIFA ambapo ndipo nyumbani kwa mchezo tunaoupenda zaidi . " huku akimwagia sifa kwa jitihada alizo fanya katika kuinua soka hasa katika ukanda wa afrika mashariki na kumwambia tangu aingie madarakani amemsaidia kufanya maendeleo makubwa

Hasa kwa Tanzania , ambayo ni muunganiko wa nchi mbili awali Tanganyika na Zanzibar Zilizo ungana january 26 April 1964, ambapo zimepakana na Uganda na Kenya Kaskazini , Burundi, Rwanda na Congo DR Magharibi , Zambia na Malawi kusini mashariki ,na Mozambique upande kusini .
I’m especially appreciative of the interest that
President Blatter has shown in Africa. It’s really due to his efforts
that we now send five teams to the World Cup, and that the last
tournament, in 2010, took place on African soil.
Jakaya Kikwete, the President of Tanzania
No comments:
Post a Comment