Timu ya soka ya Southampton imemtimua kazi kocha wao Nigel Adkins baada ya miaka miwili na nusu na sasa amechaguliwa Raia wa aregentina Mauricio Pochettino kuingoza timu hiyo.
Soton walitoka nyuma katika mechi ya ligi ya premier na kutoka sare ya mabao mawili kwa mawili na Chelsea siku ya Jumatano
na sasa wako alama tatu katika mstari wa kushuka daraja
Pochettino, Mwenye miaka 40, ataanza kazi siku ya jumatatu dhidi ya Everton .
Muargentina huyo aliachana na klabu ya uispania Espanyol mwezi November na atakutana timu yake mpya siku ya mazozei hapo kesho .Mwenyekiti wa
Southampton Nicola Cortese
amethibitisha hilo kwa kusema
:
Maamuzi haya yamefanya kwa kutazama maendeleo ya muda mrefu ya klabu hiii ".
"Tuna kiri na kuutambua mchango wa
Nigel alioufanya kwa miaka miwili kwasasa tunaaangalia matatzamio ya kundelea na maendeleo ya klabu yetu mbele ya safari kiukweli tuilihitaji mabadiliko .
"Mauricio Ni kocha Bora na anaheshimika na ana ubora tunao utaka hasa kiufundi -
Pochettino amewahi kuchezea Espanyol na Paris Saint-Germain
na alikuwa beki wa kutumainiwa katika miaka ishirini ya soka na ndiye aliyemchezea faulo
Michael Owen mwaka 2002 katika kombe la dunia na uingereza kupata pernaty iliyofungwa na na David Beckham.
Pochettino Amesema kuwa : "Nafasi kama hii:- mkufunzi yoyote anaitamani na kuitaka hii ni klabu kubwa yenye maono ya mbali na ya kupendeza .
No comments:
Post a Comment