Mshambuliaji Arsenal Theo Walcott amaetia saini kandarasi ya miaka mitatu na nusu na klabu yake ya arsenal ambapo atalipwa ujira wa pauni laki moja £100,000 kwa moja juma
Kijana huyo mwenye miaka 23 ambaye ni mshambuliaji wa Uingereza amebakiza miezi sita katika kandarsi yake ya sasa alikataa deal ya miaka mitano ya ujira wa pauni 750000 kwa wiki mwezi august .
Aidha mazungumzo yalisimama Baada ya walcott kukataa kandarasi ya kwanza
Walcott -kwa sasa amekuwa akitumiwa kama mshambuliaji wa kati na ametia kimiani magoli kumi na nne Wanasheria wa arsenal na mshauri wa mchezaji huyo walikutana jana saa moja usiku kwa saa za uingereza ambapo ni sawa na saa nne usiku za tanzania kumaliza utata huo ambapo aliperekewa kandarasi mbili ya kulipwa pauni 90000 na bonasi ya pauni milion tatu kama angesaini kwa miaka mitano lakini alikubali kandarasi ya miaka mitatu na nusu ya kulipwa pauni laki moja 100000 na kusaini haki zake za mataumizi ya picha zake
Sasa itakuwa nafuu kwa arsenal ambayo imepoteza wachezaji wawili katika kila msimu kwa kuuzwa timu nyingine akiwemo
Robin van Persie kwenda Manchester United
pindi alipobakisha mwaka mmoja katika kandarasi yake
Samir Nasri kwenda Manchester City
alipokuwa katika hari kama hiyo.
No comments:
Post a Comment