Ligi ya mabingwa Barani ulaya inaendelea leo kwa mechi mbili lakini mechi kubwa inayosubiriwa kwa hamu ni kati ya Arsenal Dhidi ya Bayern Munchern ya ujerumani .
Arsenal ambao ndio wenyeji wa mchezo wa leo watamuweka katika uangalizi mlinzi wao wa kati Laurent Koscielny (ambaye anaumwa miguu ) .
Arsenal ambao ndio wenyeji wa mchezo wa leo watamuweka katika uangalizi mlinzi wao wa kati Laurent Koscielny (ambaye anaumwa miguu ) .
Mlinzi wa kushoto wa Timu hiyo haruhusiwi kucheza kwani tayari alikwisha cheza akiwa na MALAGA kijana kutoka uispania Nacho Monreal aidha Kieran Gibbs
hatokuwemo kwani ni majeruhi , lakini beki wa aresnal Carl Jenkinson baada ya kumaliza adhabu na anarejea kikosini .
Kiungo wa Bayern Munich Javi Martinez amepata ahueni baada ya kuumia kidole cha mguu.
Javie Martinez |
Ambaye alinunuliwa kwa pauni £34m wakati wa akiangazi japokuwa alikosa mchezo wa ijumaa Dhidi Wolfsburg 2-0 ambao walishinda mchezo.
Viongozi hao wa ligi ya ujerumani watamkosa
Viongozi hao wa ligi ya ujerumani watamkosa
Claudio Pizarro (ambaye ni mgonjwa ), Huku Mlinzi Jerome Boateng
(akitumikia adhabu ) aidha Holger Badstuber (anasumbliwa na goti ).
Kurejea kwa Martinez kutaongeza chachu ya katika kikosi cha
Bayern watapokuwa wakitafuta matokeo chanya katika uwanja wa Emirates .
Mchezaji huyo wa zamani wa Athletic Bilbao ni moja kati ya viungo wa wakabaji atakuwa akisaidiana na Bastian Schweinsteiger.
Mchezaji huyo wa zamani wa Athletic Bilbao ni moja kati ya viungo wa wakabaji atakuwa akisaidiana na Bastian Schweinsteiger.
Jupp Heynckes "kwa mambo yalivyo sasa yanaonekana mazuri amerejea tena -Mkufunzi ambaye ameshinda kombe la klabu bingwa ulaya akiwa na Real Madrid mwaka 1998.
"Tunatakiwa kutazama majeruhi yetu lakini ninaamini tutakuwa sawa ."
Akiizungumzia Arsenal's ambayo imeondolewa kwenye Kombe la FA Dhidi ya Blackburn,
Heynckes amewaonya wachezaji wake kuwa wanatakiwa kuwa makini kwani wana hasira ya kufungwa na watakuwa hatari sana kwao ".
"japokuwa wana matokeo mabaya arsenal inaweza kurejea katika hari yake ya kawaida ;Ni wazuri sana pale wanapokwenda kushambulia anamliza kusema kocha huyo mwenye miaka 67.
."
No comments:
Post a Comment