HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

1 February 2013

HIki NDICHO KILICHOFANYA BAADA YA KUFUNGWA DIRISHA LA USAIRI KWA UINGEREZA

  • David Beckham - Paris St-Gemain (free)
  • Mario Balotelli - Man City to AC Milan (£19m)
  • Chris Samba - Anzhi to QPR (£12.5m)
  • Nacho Monreal - Malaga to Arsenal (£10m)
  • Danny Graham - Swansea to Sunderland (£5m)  
 Nacho Monreal


Nacho Monreal

Arsenal imetangaza kukamilisha usajiri wa mlinzi wa kushoto kutoka malaga  Kwa gharama ya pauni  £10m, kwa ajiri ya malipo na ada mbali mbali  na amekubali kandarasi ya miaka  minne na nusu 
Mchezaji huyo Mwenye miaka 26 ameichezea timu mara hamsini na nne   Malaga akitotokea  Osasuna mwaka  2011 na amiechezea uispania mara saba.
Swansea striker Danny Graham Sunderland 

Mshambualiaji wa Swansea City  Danny Graham amaemaliza uhamisho wa pauni  £5m kwenda  Sunderland baada ya kukubali kandarasi ya miaka mitatu  mvhezaji huyo wa zamani wa Middlesbrough na  Watford na mwenye , miaka  27, amefunga  magoli  12 katika ligi ya premier na kuisaidia  Swans kumaliza ya 11th katika msimamo wa ligi mwaka jana 

 David Beckham
 David Bekham yeye amekwenda PSG na kandarasi ya miaka miatano na mshara wake atawapa watoto wasiojiweza na familia yake na watoto wake wa nne watabaki london pamoja na mama yao "Nina bahati hadi kufika Umri nimeapata offa nyingi kuliko nilivyokuwa na uwezo hapo awali nina furaha sana kuwapa na nina imani soaka ya hapa itakuwa na mvuto "

Aidha baadhi ya mashabiki kutoka uingereza wamesema watakwenda kumtazama Bekham 
Urby Emanuelson

Fulham imemakamilisha usaijiri wa mkopo wa  AC Milan's Urby Emanuelson mpaka mwisho wa msimu 
Mchezaji huyo wakidachi alicheza chini ya Martin Jol alipokuwa Ajax.

N a ni moja kati ya zao la wachezaji katika program za vijana  Emanuelson ameichezea AC MILAN mara  60  Tangau alipo wasiri Timu hiyo January 2011.







No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers