Kocha mkuu wa timu soka ya Tunisia Sami Trabelsi amejiuzulu kuifundisha timu ya soka ya taifa ya Tunisia baada kushindwa kufuzu hatua ya Robo fainali katika michuano ya mataifa ya afrika.
Chama cha soka cha Tunisia (FTF)
Leo kimeridhia maombi ya kutaka kujiuzulu kwa mkufunzi huyo mwenye miaka arobaini na tano
.
Shirikilisho la soka la nchi hiyo limechapisha taarifa kwenye tovuti ya kuwa wanatambua mchango wake na kwa sasa wanatazama ni nani atachukua mikoba ya mkufunzi huyo ambapo yametajwa majina matatu : Khaled Ben Yahia, Nabil
Maaloul na Maher Kenzari."
Tunisia iliifunga timu kutoka ukanda wake ya afrika kaskazini Algeria bao 1 kwa sifuri katika mchezo wa kundi D na kutoka suluhu ya goli moja kwa moja na togo na baadae kufungwa na ivory coast bao tatu sifuri
Kocha huyo aliiingoza timu hiyo mwaka jan kufika robo fainali huko Equatorial Guinea na Gabon na kutolewa na Ghana
No comments:
Post a Comment