HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

26 March 2013

MASHINDANO JUDO AFRIKA MASHARIKI HAKUSHIKIKI ZANZIBAR HATARI TZ BARA YAMALIZA KAZI

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjm5vycuauc15JGV25bcVcK3ebX0IrPDen20vgz-xca6BUqvFoLditekWB1Slmbg67VwzlzXv05kECKkfvnydu5V2kLguX0S-fwG0udoOpsHa3mOLWfgDxzBOQBpXilA5lRKoG3aQHk4p4/s1600/IMG_6536.JPG 
  Mchezaji wa Tanzania Bara Gofrey Edward akimuagusha chini na kumdhibiti mchezaji wa timu ya Burundi Halfan Mkurunziza katika mchezo wa Fainali ya Judo Afrika Mashariki mchezaji wa Tanzania ameshinda katika mchezo huo.

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYJLhyGKH9Xa6KmK4sX1kCryJdeKLsoxn49rl074hWoJ36_XVo-Dbpcwb4Bd-7gi7cPEufjLE-5uH6j6OLLH7ME8mXTbFndRZles9yuiNjpOtsM0ebbwEIqTGpI9dSoOxo5H2c4gS5A00/s1600/IMG_6545.JPG Moja kati ya waamuzi wa mchezo huo wakiwa kazi ya kuhesabu alama za washiriki wa michuano ya judo  ya afrika mashariki na kati inayofanyika Zanzibar .

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiznkRfL_Y6-cfF8ScpMKO7yIYBC34x_VBX_nq7TydXQSMS22k78jmC8wOhRnPiauFxJVkY5BOcnMtLc9wOTlTDU_472TQP6j7P-mHDIK3DG5zITSJVyJimTqgqJdrfTwp1-QcEvlwurAU/s1600/IMG_6541.JPG 

Mchezaji wa Judo wa Zanzibar Masoud Amour akijaribu kumuagusha mchezaji wa Kenya George katika mchezo wa fainal mchezaji wa Zanzibar alishinda  fainal hiyo.


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers