Mchezaji wa Manchester united Rio Ferdinand hatoadhibiwa na UEFA kwa tabia yake aliyoionesha baada ya mpira kumalizika kati ya
Manchester United's dhidi Real Madrid.
Ambapo Ferdinand alikwenda kumzonga mwamuzi kutoka Uturuki Cuneyt Cakir aliyemzawadia Luis Nani .
katika mchezo ambao United ilifungwa kwa jumla ya mabao 3-2.
Shirikisho la soka ulaya limesema litamchukulia hatua Nani' aidha klabu ya Manchester united itachukuliwa hatua kwa kuvunja Kanuni ya kutotozungumza baada ya mechi iliyochezwa katika uwanja wa Old Trafford.
Ferdinand, 34, hakufurahishwa na yeye na wachezaji wenzake na walikwenda kumzonga mwamuzi baada ya kumalizika mpira , Msemaji wa Uefa amesema kuwa hakuna hatua itakayochukuliwa mara baada ya kusoma taarifa kutoka kwa mwamuzi japokuwa alikili kuwa bado kuna mambo mengine wanayafanyia kazi .
Ambapo watatazama kama watoe adhabu zaidi kwa Nani au isimame kadi ile ile nyekundu vile vile Ferguson' kukataa kuzungumza na vyombo vya habari ni kuvunja sheria za UEFA ambapo hakuna mchezaji yoyote aliyezungumza na katika vyombo vya habari .jambo ambalo linakinzana na kanuni za UEFA
No comments:
Post a Comment