HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

6 March 2013

ROY KEANE MWAMUZI KAFANYA MAAMUZI SAHIHI UEFA KUCHUKUA HATUA YA KINIDHAMU


Nani is sent off

Shirisho la umoja wa vyama vya soka la ulaya limeanza taratibu za kuichukulia hatua  za Kinidhamu klabu ya Manchester United Baada ya Mechi ya Real Madrid

.
Shirikisho hilo limesema litamchukulia hatua Luis  Nani' na kuhusu kadi nyekundu aliyopewa na kugomea kuzungmza na vyomo vya habari baada ya mchezo  pale  Trafford
Nani alitolewa nje na Mwamuzi kutoka Uturuki  Cuneyt Cakir katika dakika ya  56th baada ya kumfanyia faulo mbaya   Alvaro Arbeloa. 

  Ambapo Man u ilifungwa  3-2 kwa sheria ya nyumbani na ugenini .
Ambapo kwa mujibu kamati ya NIdhamu mchezaji anaweza kupewa adhabu zaidi 
.
Mkufunzi wa Manchester Unite Sir Alex Ferguson alikasirishwa na kitendo hicho na hakutaka hata kuhudhuria mkutano na waandishi wa habari na alimwachia jukumu hilo kocha msaidizi wa timu hiyo  Mike Phelan.
 Aidha wachezaji wa  Manchester United hawakuacha kuzungumza katika Eneo la   mixed zone Eneo ambalo waandishi wa habari hurusiwa kuongea namchezaji yoyote .
Uefa imesema kuwa itakaa na kamati yake Tar  21 March, na Msemaji wa  UEFA ameongeza : "hakuna jambo jingine kwetu kuhusu kadi nyekundu ."
 http://i1.mirror.co.uk/incoming/article884334.ece/ALTERNATES/s615/Roy%20keane,%20ITV%20pundit%20for%20Euro%202012-884334

 Kwa upande mwingine  Mchezaji wa zamani na Nahodha wa  Manchester United  Roy Keane anaamini kuwa  Mwamuzi  Cuneyt Cakir alifanya maamuzi sahihi kumtoa nje Luis Nani Dhidi ya  Real Madrid siku ya Jumanne .

 Mchezaji raia wa ureno alipandisha mguu sehemu ya mbavu akimfanyia faulo  Alvaro Arbeloa
ambapo wachezaji hao walikuwa wakiwania mpira .

 Alipokuwa , Akizungumza na  ITV's  katika matangazo ya moja kwa moja ya mechi , Keane alisema : " Nadhani Mwamuzi amefanya Maamuzi sahihi .

 "Kila mtu amefedheheshwa na tukio lile , Lakini ni mchezo Mmbaya  . Bila kujari alidhamiria au hakudhamiria sio jambo zuri .
Ni mchezo wa Hatari  -Ni kadi nyekundu .
 "Unatakiwa kuwa Mwangalifu na wachezaji wengine kiwanjani .



 "Siku zote huwa tunasema waamuzi wanafanya maamuzi kwa haraka lakini mwamuzi alisubiri kwa dakika kadhaa na -kufanya maamuzi .

 "Nilipokuwa na cheza soka zama zangu nilikuwa najiuliza nimempatia mwamuzi muda wa kufanya maamuzi , '?' na Kama jibu ni Ndio ,

Basi maamuzi hayatakuwa Mikononi mwako ."

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers