Loic Remy na wenzake wawili wamekamatwa kwa kosa la ubakaji na wanashikiliwa kwa mahoajiano zaidi siku ya jumatatu mshambuliaji huyo Queens Park Rangers amekamatwa kwa makosa ya ubakaji .mshambuliaji huyo mwenye miaka 26-ambaye pia ni mchezaji wa kimataifa wa ufaransa anashikiliwa na askari wa uchunguzi wa
Scotland Yard's wa kitengo cha makosa ya ubakaji akiwa pamoja na vijana wenzake wawili ambao walikamatwa huko Fulham, Magharibi mwa London .
Wanashikiliwa kwa mahojiano zaidi baada ya kumuingilia mwanamama mwenye miaka 34 ambaye alibakwa na vijana watatu siku ya jumatatu .
mashitaka hayo yalipitiwa na Met kutoka Askari wa Kent jumatatu iliyopita.
Msemaji wa Metropolitan Polisi amesema : "watu watatu wenye umri kati, miaka 26, 23 na 22, walikamtwa katika kitongoji cha Fulham kwa makosa ya ubakaji.
"na bado watabakia katika kituo cha polisi hapa London ."
No comments:
Post a Comment