Katika hari usiyoitegemea Taasisi ijulikanayo kwa jina la Habari njema imewaomba watanzania wote kusimama na kuiombea nchi yao katika mchezo wa kufuzu za kombe la dunia dhidi ya Morocco utakao chezwa Marrakech.
Mwenyekiti wa wa Taasisi hiyo Askofu Charles Gadi amesema katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, japokuwa Taifa star ipo katika nafasi mbaya kwenye viwango vya Fifa amesema maombi na kujituma kutaisaidia timu hiyo katika viwango vya fifa
”Wachezaji watanzania wanatakiwa kuongeza morali amesema kiongozi huyo wa kidini .
Ameongeza kuwa maombi yataisadia kuleta ushindi kujiamini katika mazoezi wanayofanya pale Addis stadium katika kujiandaa na mechi ya kirafiki .
“Maombi ya nchi nzima yatawezesha tanzania kufanikiwa kushinda tikiti ya kombe la dunia kwanza mara tangu kombe hilo lianzishwe .
“lakini akaitaka serikali na wadau kuwekeza inavyotakiwa katika soka ilikifikia viwango vya timu kubwa kama spain na brazil .

No comments:
Post a Comment